Thursday, June 16, 2011

Don't text while driving


Kuendesha gari huku unachati au unatumia sms ni hatari kuliko ukiendesha huku ukiwa umelewa.
Hayo yametanabaishwa na tafiti zilizofanywa na gazeti la car and driver na tafiti zilizofanywa na Transport Research Laboratory ya Uingereza.
Tafiti hizo zilionyesha kuwa dereva anayechati huchelewa zaidi kupiga breki gari la mbele yake linaposimama, kuliko dereva aliyelewa pombe.