Thursday, June 16, 2011

Matumizi sahihi ya Windows 7

Ukiona komyuta yako ina boot kwa muda unaozidi sekunde kumi basi ujue kuwa iko chini ya kiwango.
Hayo yameelezwa na kampuni ya Microsoft katika mtandao wa softipedia.

Microsoft imesema hayo kutokana na malalamiko ya watu wengi kuwa Windows 7 na Windows Vista zinachelewa kuboot.

'Watumiaji wengi wa Windows 7 hawajawahi kuona kompyuta ikwaka ndani ya sekunde kumi na hawajui kuwa hilo linawezekana.' ilisema taarifa hiyo.

Microsoft inashauri watu watumie kompyuta sahihi kwa OS hizo.