Baada ya majaribio ya muda mrefu, wameona ni vyema wakaweka ‘reply’ kwenye komenti ili mtu aweze kuijibu komenti anayoitaka siku nyingi baada ya komenti kutundikwa.
Pia facebook
imeamua kuwa mazungumzo yanayoendelea kuchangiwa sana yatakuwa yanakaa juu ili
watembeleaji waweze kujua nini kipo hot kwenye page.
Hata hivyo, vitumizi hivyo kwa sasa
vitakuwa vikipatikana kwa watumiaji wa kompyuta za mezani tu.
