Sunday, March 24, 2013

KWA WALE WANAODAUNLODI

Maria Pallante

Tuliozoea kupita pale youtube kumiminisha miziki na muvu, tuko hatarini kukosa huduma hizo iwapo bunge la Congress la Marekani litapitisha muswada wa sheria kutoka United States Register of Copyrights uliowasilishwa na  Maria Pallante.

Taarifa zinasema kuwa Pallante amekuwa akishinikiza kuwa iwe ni kosa kuweka kazi zenye kopiraiti mtandaoni ili zimiminwe na wanaozitaka.

Pallante alisema ‘kuna mwanya kwenye sheria’