Boti kubwa kuliko maboti yote yanayotumia mionzi ya jua Tûranor,
liko tayari kwa safari ya kuvuka bahari ya Atlantiki kama safari ya majaribio na uchunguzi.
Boti hilo litatoa nanga Miami Alhamisi hi ina kuelekea Bergen, Norway.
Taarifa zaidi zinasema kuwa boti hilo ni sehemu ya mradi wa
kimazingira unaojulikana kama PlanetSolar DeepWater.
