Wednesday, March 27, 2013

WANUNUZI WA NGONO; UTAFITI WA KUSHANGAZA!



Ni watu wa aina gani wanatafuta vyangudoa?
Takwimu zinaonyesha kuwa niwatu wa kawaida tu kama wewe msomaji au kaka yako au Mume wako. Utafiti umegundua.

Katika utafiti uliofanyika Marekani, unaonyesha kuwa ni asilimia 14 tu ya wanaume wa Marekani ndio hawajawahi kununua ngono wakati asilimia 1 ya Wamarekani wamelipia huduma hiyo ndani ya mwaka huu na wengi wa wanaume hawa hawana cha kuwatofautisha na wanaume wengine, ulisema utafiti huo ulioendeshwa na jarida la the In­terna­t­ional Jour­nal of Of­fend­er Ther­a­py and Com­par­a­tive Crim­i­nol­o­gy na kuchapishwa March 22.
Wengi wa watu hawa wanavipato vizuri tu na wana elimu ya chuo kikuu na wameoa. Utafiti huo umegundua.