Tuesday, April 9, 2013

Hii ni $ 15,000/= tu

Kamera hii aina ya Canon EOS-1D C 4K ikiwa imefungwa vikorokocho kibao na kuipa uwezo mkubwa wa kushuti picha za muvi kwa ubora mkubwa kuliko kamera za kawaida za muvi.

Kabla ya kuambatanisha vikorokocho vyote hivyo bei yake ni dola za marekani 15,000 tu, na imekuwa ikipapatikiwa sana na watengeneza muvi hivi sasa.