MAUZO YA MZIKI MTANDAONI YAPANDA
Mauzo ya mziki online sasa sasa yanafikia theruthi moja ya mauzo ya biashara
zote duniani ingawa Google na search engine zingine zimekuwa zikisababisha
faida kupotea, imeelezwa na International Federation of the Phonographic
Industry (IFPI) taasisi inayojishughurisha na uangalizi wa shughuri za mziki
duniani.
Kutokana na taarifa za hivi karibini, mauzo yaliongezeka kwa asilimia 11
kutoka mwaka 2011 na mtandao wa iTune uliongoza kwa kuuza wakati Google, Amazon
na Microsoft walichangia sana mauzo.