Tuesday, April 9, 2013

SINGLE YA BILIONI MOJA YAUZWA MTANDAONI

Wauza mziki wa halali wa online, wameshauza single ya bilioni moja hivi karibuni.

Kufuatana na taarifa iliyotolewa na British Phonographic Industry (BPI) na kampuni ya Official Charts, single hiyo ya bilioni moja imeuzwa Jumatatu 8 April jioni. 

“Mapinduzi ya kidijitali yamefanya iwe rahisi kuuza na kununua mziki wowote mara moja kwa bei ya kikombe cha kahawa.” Alisema bosi wa BPI Geoff Taylor.